3/31/2020

Mo Dewji Asema Aliyefariki Kwa Corona Alikuwa Rafiki Wa Karibu Na Shabiki Mkubwa Wa Simba


 Muda mchache mara baada ya waziri wa Afya na usatwi wa jamii Ummy mwalimu kutangaza kifo cha magonjwa kwanza wa virus vya Corona nchini kilichotokea kwenye kituo cha  kutibu wagonjwa wa Corona kilichopo kwenye hospitali ya Mloganzila jijini  Dar es salaamMO Dewji ameweka wazi Simba SC bado inaendeshwa kwa hasara - YouTube

Mwekezaji wa klabu ya Simba  SC Mohammed Dewji  ameweka wazi kuwa mtu aliyefariki aliyetangazwa na wizara hiyo alikuwa mwanafunzi mwenzie na alikuwa shabiki mkubwa wa klabu ya Simba Sc na alikuwa rafiki yake wa karibu

Kupita ukurasa wake wa Twitter Dewji ameweka wazu uhisano wake huo na Iddy Mbita

“Pumzika kwa amani mpendwa wetu Iddi. Tumesoma pamoja Arusha School, urafiki wetu tukaurithisha hadi kwa watoto wetu kuwa marafiki na sisi kuendelea kufurahia mechi za Simba pamoja. Pumzika kwa amani rafiki yangu, nasi tuko njiani” ameandika Mo

Iddy Mbita anakuwa mgojwa wa kwanza kufariki kutokana na Ugonjwa huo nchini na kuna jumla ya wagonjwa 19 waliotambuliwa na serikali kwa sasa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger