3/25/2020

Mtoto wa Mbowe Amkanya Makonda Yeye sio Msemaji wa Familia...


Mtoto wa Mbowe amkanya Makonda yeye sio msemaji wa Familia anatumia Corona KisiasaVIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Nyamaza wewe..!!
  Umepata sala zetu, baada ya Mh. Makonda
  kutupatia taarifa. inatakiwa wewe umshukuru na kuzingatia makatazo ya Kolona . Bwana Afisiwe.

  ReplyDelete
 2. We Dogo..!!Kuwa na Adabu..unajua Athari
  za Mlipuko wa Korona na Umuhimu wa wana
  Familia ya Mmuuathirika kama wewe wanahitajika kuwa Karantini na kujitenga na Jamii. Je Wazazi wako na amilia yako wamelitekeleza hilo?

  Vinginevyo, tuwapeleke Mahakamani baada ya kujua wana muathirika na kujiachia kwa majukumu ya kawaida na kijamii kwa lengo la uenezaji.

  Hongera Mh Makonda tumeanza kufatilia atendance book hospital yamamawa muathirika ili tubaii alioutaa nao. na Jijini Dodoma na mchakato kama huo unaenelea.

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger