Rosa Ree Amshusha Roberto wa Amarula Tanzania Kutoka Zambia Kisa Collabo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa sasa hivi haina ubishi, Rosaree ndiye msanii wa kike anayefanya juhudi kubwa zaidi kwenye sanaa ya mziki.

Rosa Ree amemleta nchini msanii wa Zambia al maarufu kama Roberto wa "Amarula" na habari zinazosambaa ni kwamba wanajiandaa kutoa wimbo mpya pamoja na msanii huyo Ijumaa hii.

Hata hivyo Rosa Ree ameendelea kuwashangaza mashabiki zake pamoja Tanzania kwa nyimbo zake za kimataifa kama "Balenciaga" ambayo inafanya vizuri sana Afrika nzima.

Mashabiki wa Rosa wamefurahishwa sana na wimbo wa wanawake ulioandaliwa na Diamond ambapo hawakutegemea kama Rosa Ree atafanya vyema kutokana na beat la wimbo huo kuwa tofauti na beat zake alizozoea.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad