3/31/2020

Shilole "Diamond Huu ni Mwaka wa Pili Haujatekeleza Ahadi yako" (Video)


Msanii wa muziki, Shilole Jumatatu hii ameutambulisha uongozi wake mpya mbele ya waandishi wa habari pamoja na mipango wake mipya. Katika utambulisho huo muimbaji huyo aliweza kuzungumzia mambo mbalimbali hukusu maisha yake pamoja na ahadi ambayo aliitoa Diamond wakati anaolewa na Uchebe. Katika hatua nyingine Shilole amedai moja ya vitu ambavyo anavijutia kwenye maisha yake ni kuchota tattoo, amedai moja na tattoo ambaye anaijutia ni ile aliyechora Zebra ambayo ni alama za barabarani

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger