3/22/2020

Simba wa Bongo Diamond Platinumz Hatimaye Amezungumzia Kutengana Kwake na Tanasha Donna
Kupitia video ya live kwenye instagram yake ,shabiki mmoja alitaka kujua aliko Tanasha baada ya wawili hao kuripotiwa kutengana. Shabiki huyo wa kike alitaka kusema na Diamond na wakaanza kupashana mori kimahaba hasa aliposema kwamba alikuwa uchi kitandani . Hatua hiyo ilimfurahisha Diamond sana kumbe bomu lilikuwa njiani na ghafla mwanadada huyo akauliza

‘Tanasha yuko wapi?’

Diamond alifahamu kwamba kla mtu alitaka kujua jibu lake .Alitabasamu kisha akasema suala hilo lilikuwa la kibinafsi sana na la kifamilia .

“That’s too private.. Hayo mambo ya familia kidogo,”  Alisema Diamond

  Aliendelea kumsifu mwanadada huyo na kumuambia kwamba alikuwa mrembo inagwaje hakuweza kumuona .Kipusa huyo alionekana kupuuza hilo .Diamoand alimuuliza hata kuhusu anakoishi

Simba katu haridhiki na  kimoja na sarakasi zake zitazidi kutupa uhondo kwa muda mrefu ujao .
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger