3/25/2020

Ummy Mwalimu:Tanzania imepokea msaada vifaa vya kupambana na corona toka ChinaWaziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona ambavyo vimetolewa na mfanyabiashara maarufu wa nchini China, Jack Ma

Vifaa tiba hivyo vimesafirishwa kuja Tanzania pia Somalia, jana asubuhi vifaa vilisafirishwa pia kwenda Nchi nyingine 9 ikiwemo Kenya.

Katika vifaa hivyo  zimo mask, vifaa vya kupimia na nguo za kujikinga na corona.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger