Ummy Mwalimu:Tanzania imepokea msaada vifaa vya kupambana na corona toka China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona ambavyo vimetolewa na mfanyabiashara maarufu wa nchini China, Jack Ma

Vifaa tiba hivyo vimesafirishwa kuja Tanzania pia Somalia, jana asubuhi vifaa vilisafirishwa pia kwenda Nchi nyingine 9 ikiwemo Kenya.

Katika vifaa hivyo  zimo mask, vifaa vya kupimia na nguo za kujikinga na corona.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad