3/27/2020

VIDEO: Serikali yamkana Makonda 'LIVE' sakata la mtoto wa Mbowe


Waziri wa Afya  Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema hakuna mtu anayeruhusuwa kutoa takwimu za maambukizi ya virus vya Corana na hairuhusiwi kutaja jina la Mgonjwa kwana ugonjwa ni Siri ya mgonjwa na Daktari.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger