google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Virusi Vingine Vipya vyaua Mmoja China, 32 Wapimwa | UDAKU SPECIAL

Virusi Vingine Vipya vyaua Mmoja China, 32 Wapimwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtu mmoja ambaye alithibitishwa kuwa na maambukizi ya Hanta Virus amefariki dunia akiwa kwenye basi katika Jimbo ya Yunnan. Abiria wengine 32 waliokuwa kwenye basi hilo wamefanyiwa vipimo kuona kama wameathirika.

Kifo hicho kimekuwa gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na wengi kukifananisha na Corona Virus, ambayo pia ilianzia China.

Imeelezwa kuwa, Hanta Virus husambazwa na Panya wenye Virusi hivyo na ni vigumu kwa watu kuambukizana.

Kwa mujibu wa Kituo cha kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Marekani (CDC), mtu anaweza kuambukizwa pale anaposhika macho, pua au mdomo wake baada ya kushika haja, mkojo au mate ya Panya.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad