Yupi Anayefaa, Tajiri ila Hana Muda na Mimi au Mwenye Uwezo wa Kawaida ila yupo Nami Muda Wote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama kichwa cha Habari kinavyojielezea mimi ni binti mrembo tu Nina kaxi yangu nzuri Namshukuru Mungu, nimepita kwenye mahusiano kadhaa changamoto hazikosekani Nimekutana na wenye uwezo wanaoweza kanipa Nitakacho na wenye uwezo wa kawaida tu.

Nilichojifunza ni kwamba Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu Anaejiweza akakupa kila utakacho ila hana muda na wewe hamna out wala muda wa kukaa mkayajenga hata mazungumzo ya kawaida maana mimi ni mpambanaji 

Mkikutana ni show basi siku zinaenda mwaka umekatika hamna la maana na sio kwamba anamahusiano mengine Hapana ingawa Mwanaume huwezi msemea ila ni mtu ambaye uko nae huru ila yuko busy muda wote hawezi kujenga muda kwa ajili yako ila muda wa kufanya mengine kama kwenda Bar, karaoke nk anao

Pili Mwanaume Ambae hawezi kukuhudumia kwa chochote mnapata muda wa kuzungumza kushauriana kupanga Mambo ya maendeleo ingawa hamuwezi kwenda out nk kutokana na kipato ila mapenzi mnayafurahia hata kwa kukaa ndani tu coz mimi sio mtokaji na haijawahi kunipa chochote wala sijawahi kumuomba coz namjua Hali yake 

Ingawa ana wasiwasi na mimi kutokana na uwezo wake na urembo wangu ila mimi sina tatizo coz najimudu kwa kila kitu. sasa huyo mwenye uwezo miezi4 hatuko vizuri na naona nimeshindwa mimi kwa moyo mweupe coz sijawahi kuenjoy nae hata siku moja nataka kumpokea huyu wa Hali ya kawaida kwa moyo mmoja tujenge familia maana kule naona utumwa naombeni Ushauri ndugu zangu

By Vantz

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good morning money is not every thing na mara nyingi ndo inavyo tokea wenye wengine wenye pesa wanaona kama kakununua kwahiyo utakaa kwasababu unataka pesa lakini mapenzi hamna. miye nakushaurie nenda kwa mwenye uwezo kidogo lakini anakujali.

    ReplyDelete

Top Post Ad