5/28/2020

COVID-19: Wasanii waomba kupewa pesa zao zinazotokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye redio na runingaKatibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya (Tuma) Brighton amesema kutokana na hali mbaya ya uchumi wa wasanii uliosababishwa na janga la corona, wasanii walianza kujadili namna ambavyo watapewa pesa zao zinazokusanywa na COSOTA kutoka kwenye makusanyo ya nyimbo za wasanii zinazopigwa kwenye redio ya TV.

 
Ameyasema hayo leo katika mkutano ulioandaliwa na Viongozi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kujadili namna gani ya kufanya shughuli za Sanaa katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha ugonjwa hatari wa Corona.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Kayumba na Meshack ni Lazima Hawa Matapeli wa wape Haki za Wizara na Baraza wanalielewa Hilo.

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger