5/28/2020

Davido Azidi Kuwashangaza Wanamuziki wa MAREKANI....Wimbo Wake Wafika Mauzo ya Gold....

Hakika umekuwa usiku bora kwa mwimbaji Davido wa Nigeria ambaye wimbo wake "Fall" wa mwaka 2017 umefikisha kiwango cha mauzo ya GOLD yaani umeuza nakala Laki 5 kwa Marekani.

Wimbo huo umeweka rekodi ya kuwa wimbo wa kwanza wa mahadhi ya Afro beat ulioimbwa na msanii mmoja (Solo song) kufikisha kiwango hicho cha mauzo kwa marekani. Mbali na Marekani, Fall pia imegonga GOLD nchini Canada.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger