5/26/2020

Diamond Platnumz Aibuka Man of the Show...Performance ya Africa Day Yawa Gumzo Afrika Nzima


Simba wa Afrika Diamondplatnumz usiku wa kuamkia amedondosha 'Performance' kubwa na ya Kipekee kwenye *AfricaDayBenefitConcert na kuacha gumzo kila pande ya bara la Afrika .

Kupitia Ngoma yake ya JEJE ambayo imejizolea umaarufu mkubwa duniani, Simba alikonga nyoyo za Mashabiki wengi walioshuhudia Tamasha hilo kupitia *Mtvbaseafrica , kwa ubunifu wa hali ya juu na dances Kali .

Kupitia maoni mbalimbali mitandaoni, hakuna shaka kuwa Mkali huyo alikua 'Man of the Show' kwenye concert hiyo iliyojumuisha Mastaa mbalimbali kutoka ndani na nje ya bara la Afrika...DIAMOND ANAPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE.. HAKUNA WA KUMFANANISHA NAE BONGO
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger