Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Diamond Platumz "Waliosema Zuchu Muimba Taarabu Waambia Simba Hakurupuki"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rais wa lebo ya muziki ya #WCB @diamondplatnumz amewajibu watu waliokuwa na imani kuwa msanii wake mpya @officialzuchu ni muimba taarabu sio Bongo Fleva

Diamond Platnumz amewajibu kwa kupost video Clip ya Zuchu akiimba wimbo wa Quarantine ambao umemkutanisha na wasanii wenzake wote wa lebo ya WCB na kuandika maneno haya "Kwanza kabisa, kwa kila nilifanyalo Huwa Namtanguliza Mwenyez Mungu aniongoze...Pili kabla ya kutoka nimesota Miaka 9 kama Underground...Tatu, toka nitoke Nina miaka 11 ambayo Sijawai Kushuka... Pili Ninaheshimu sana Heshima na Dhamana niliyopewa na Wadau na Mashabiki... Hivyo Ninavyomtambulisha Msanii Jua Sijakurupuka....... Waite wote waliosema @officialzuchu Muimba Taarabu, wambie SIMBA HAkurupuki"


Post a Comment

0 Comments