5/22/2020

Donald Trump Aamrisha Bendera Kushushwa Nusu MlingotiRais Trump ameamrisha bendera kushushwa nusu mlingoti Marekani kama ishara ya kuwakumbuka waliofariki kwa corona ila bendera zitabakia nusu mlingoti Jumatatu ijayo ambayo ni Siku ya Mashujaa ya kuwakumbuka waliopoteza maisha wakilitumikia jeshi la Marekani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger