5/27/2020

Idriss Sultani asomewa mashitaka mawiliMsanii wa Vichekesho, Idris Sultan na mwenzake Innocent Maiga wamesomewa mashitaka mawili katika Mahakama ya Kisutu ikiwemo kushindwa kufanya usajili wa simu kadi iliyokuwa inamilikiwa na Mtu mwingine, kosa hili linamkabili Idris. 

Mahakama ya Kisutu imesema kosa la kwanza la Kushindwa kufanya usajili wa simu kadi iliyokuwa inamilikiwa na Mtu mwingine linamkabili Idris Sultan, ambapo alitumia kadi ya simu iliyomilikiwa na Innocent Maiga bila kuripoti kwa mtoa leseni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger