5/25/2020

Ifahamu Familia Inayotembea Kwa Mikono na Miguu Kama Nyani


#FAHAMU Familia moja huko Uturuki wanatembea kwa miguu na mikono (kama wanyama) Watafiti wa masuala ya uti wa mgongo na neva (neurologist) waliwafanyia vipimo na kugundua wana matatizo kwenye ubongo lakini hawakupata jibu la moja kwa moja kwa nini hawatembei kama binadamu wengine
Wengine wanaamini kuna uhusiano kati yao na mabadiliko ya binadamu. (human evolution).
Toa maoni
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger