5/25/2020

Kutana na Mwanamke Aliyezaa Watoto 44


#FAHAMU Bi. Mariam Natabanzi ambaye anaishi nchini Uganda, amezaa watoto 44 na wote wakiwa wa baba mmoja, mpaka sasa walio hai ni 38, wasichana 15 na wavulana 23, huku mwenyewe akiwa na umri wa miaka 39 tu. Watoto wote alijifungua kawaida isipokuwa mmoja wa mwisho ndio alijifungua kwa njia ya upasuaji.
Mariam imemlazimu kununua daftari la majina ili asiwasahau watoto wake.

Comment chochote
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Mungu awalinde na kuwa hifadhi.
    Serikali ni lazima wachukue jukumu la malezi yao na masomo yao. ikiwemo makazi bora na kuujikimu kwao.

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger