5/23/2020

Kwanini Majina ya Nchi Nyingi Pale Uarabuni Yanaishia na STAN? Jibu Liko Hapa

Wakuu salaam, wataalamu wa mambo tunaomba mtudadavulie hili.
Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN?

Mfano;

PAKISTAN
AFGHASTAN
UZBEKSTAN
TARJKSTAN
KARJKSTAN
KRIJIKSTAN
KAZACKSTAN

Na nyingine mpaka nimesahau, pia kuna majimbo mengine kama KURDSTAN na mengineyo.

Kwanini STAN?

 Jibu Liko Kwenye Hii VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

4 comments:

 1. wewe muandishi ulouliza hujui nchi za arabuni , nenda ukasome kwanza .

  ReplyDelete
 2. Bro hizo si nchi za kiarabu zote ni za asia isipokua moja tu ambayo haitabuliki rasmi Kurdstan inatambulika kama jimbo ndani ya nchi ya Iraq

  ReplyDelete
 3. Neno Stan lina maana ya Land (Ardhi) kwa mfano
  Kurdstan - ardhi ya wakurdi au uzbekistan
  Ardhi ya wauzbek - afghanista Ardhi ya wa afghan n.k. na hizo nchi zote za Asia neno Ardhi (stan)latumika kote

  ReplyDelete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger