5/23/2020

Mabeste Afunguka Baada ya Aliyekuwa Mkewe Kupata Ujauzito wa Rafiki yakeMsanii wa muziki nchini, Mabeste amefunguka baada ya aliyekuwa mke wake kupata ujauzito na mwanaume mwingine ambaye alikuwa ni rafiki wa msanii huyo.

Mabeste ameeleza hayo kupitia kipindi cha Fnl, EATV, kilichoruka Jana Ijumaa (usiku)

Mabeste aliongeza kuwa, "Kwenya maisha unapoishi unatakiwa utambue kwamba hii dunia kila mtu ana maono yake, kuna kitu unaweza ukaogopa kukifanya lakini kwa mwingine inaweza ikawa nyepesi"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger