5/27/2020

Makontena 40 Yaanguka Kutoka Kwenye Mashua na Kuzama Baharini
Makontena 40 yaanguka kutoka kwenye mashua na kuzama baharini Austarlia.

Makontema 40 yaanguka kutoka kwenye meli ya mizigo iliokuwa katika safari kutoka China kuelekea Australia

Meli iliokuwa ikisafiri kutoka nchini China ikielekea nchini Australia amekutana na dhoruba kali iliosababisha mawimbi makubwa na kuepelekea makontena 40 kuangukia baharini na kuzama kabla ya kufikia bandarini.

Tukio hilo limetokea karibu na fukwe za jiji la Sydney nchini Australia.

Picha zinazoonesha tukio hlo zimeripodiwa na kikosi cha wanamaji cha uokozi cha Australia AMSA.

Mashua hiyo ilikuwa ikitokea katika bandari ya jiji la Ningbo ilikuwa ikijielekeza katika mji wa APL England.

Wimbiz kubwa lililotokea limesababisha mashua hiyo kuyumba mno na makontena 40 kuangukia baharini.

Taarifa zinafahamisha kuwa makontena 7 yameharibika kutokana na mgongano uliotokea .

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger