Ni ipi Suluhu ya Mwanamke Asiyeridhika na Game Kitandani? Jamaa Achoka Mke Anataka Bao 3 Kuendelea Kwa Usiku Mmoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni ipi Suluhu ya Mwanamke Asiyeridhika na Game Kitandani? Jamaa Achoka Mke Anataka Bao 3 Kuendelea Kwa Usiku Mmoja

Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.

Anadai alipokua katika mahusiano mkewe kabla ya kumuao aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3 kuendelea na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa akidai jamaa sio rijali....Yaaani jamaa anadai usiku mzima wanaweza piga game mpaka anachoka kabisa lakini mke haridhiki

Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama s3x machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad