Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Maskini..Nandy Aboronga Show ya Africa Cay...Clouds Wafunguka na Kumpigia Simu...

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Watu wengi walionyesha kutopendezwa na alichokifanya mwanadada @officialnandy kwenye performance yake kupitia tamasha la #AfricaDay lililoandaliwa na MTVBase kwa kushirikiana na Mtandao wa YouTube lililofanyika siku ya jana.

Maoni ya wengi yanadai performance hiyo ilikuwa ya kawaida na haikuwa na ubunifu wowote, kinyume na matarajio yao kulingana na nafasi hiyo aliyoipata @Official Nandy na ukubwa wake kimuziki.

Kupitia XXL ya CloudsFM producer @askofutza amemtafuta Nandy na majibu yake yalikuwa "Siwezi kuiongelea sana, nafkiri ni miscommunication baina ya waandaaji wa tamasha na team yangu"

Post a Comment

2 Comments

  1. https://propellerads.com/publishers/?ref_id=TG5p

    ReplyDelete
  2. Jaribu hiyo inalipa sana zaidi ya adsense
    https://propellerads.com/publishers/?ref_id=TG5p

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)