Mbunge CHADEMA 'akanusha' kukiuka agizo la Mbowe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Viti maalum, CHADEMA, Cecilia Paresso amekanusha taarifa za yeye kuhudhuria Bungeni siku ya jana na ameshangazwa kuona jina lake limetajwa kwenye idadi ya wabunge 11 waliohudhuria Bungeni kinyume na tamko la Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

 Paresso amesema si kweli kama na yeye alishiriki kikao cha Bunge jana, kama ambavyo imeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini.

Mbali na Paresso Wabunge wengine ambao walionekana kushiriki kikao cha jana cha Bunge, ni Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali, Mbunge wa Mbozi David Silinde, ambao wao picha zao zilionekana.

Wabunge wengine ambao wanadaiwa kushiriki kikao hicho, licha ya picha zao kutoonekana ni Wabunge wa Viti maalum ambao ni Suzan Masele, Joyce Sokombi, Latifa Chande, Mbunge Jafari Michael jimbo la Moshi Mjini, Anthony Komu jimbo la Moshi Vijijini.

Kwa upande wao CHADEMA wameeleza kuwa wanafuatilia kwa ukaribu ili kupata maelezo kamili, kwanini Wabunge hao walifanya maamuzi kinyume na chama chao na watatangaza hatua watakazochukuliwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO
    KIONGOZI WA CHAMA CHAO.

    NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MTOWE.

    Its unconstitutional, Hauna Mamlaka hiyo.
    Na Nyie wote mliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata to Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.

    Na wabunge wazalendo wenye kujua majukumu yao na wananchi wapiga kura wao wamewakilisha ipasavyo.

    Ester na Timu yetu mtarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wenu?

    Mnasikitisha...!!! tena sana, Naonea HURUMA KWA JINSI MSIVYO JIELEWA.

    POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.

    AJENDA YENU IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI MMEMSIKIA.

    SHAURI YENU. MSISEME HATUKUWAONYA.

    TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!

    ReplyDelete
  2. WALIO SHIRIKI WOTE NI WAZALENDO WALIO AMUA KULINDA HAKI ZA WAPIGA KURA WAO NA SIYO KIONGOZI WA CHAMA CHAO.

    NI UKWELI USIO PINGIKA KWAMBA WALIO WALETA BUNGENI NI WANANCHI WALIOWAPA IMANI NA SIYO MZOWE.

    Its unconstitutional, Hauna Mamlaka hiyo.
    Na Nyie wote mliomsikiliza Uamuzi wa mtu mmoja ambae hajaleta Hoja Bungeni na Kutengenezewa utaratibu wa kibunge Mmefanya Kosa Na ni kunyume cha taratibu na Miongozo ya Bunge. Hamuwezi Kiholela Kuacha kufika Bungeni na Kuendelea kujadili Bajeti. Sababu na Kibali hamkupata toka kwa Bunge. Kwa Hivyo utoro wenu is a Breach. Na Posho Hamtolipwa.

    Na wabunge wazalendo wenye kujua majukumu yao na wananchi wapiga kura wao wamewakilisha ipasavyo.

    Ester na Timu yetu mtarudi majimboni kuwambia nini wapiga kura wenu?

    Mnasikitisha...!!! tena sana, Naonea HURUMA KWA JINSI MSIVYO JIELEWA.

    POLENI.. SISI NI MBELE KWA MBELE MPAKA KUHITIMISHA VIKAO VYA BAJETI.

    AJENDA YENU IMEGONGA MWAMBA...!!! NA POSHO PIA IKO HATARINI.. SI MMEMSIKIA.

    SHAURI YENU. MSISEME HATUKUWAONYA.

    TZ OYEEE... WAZALENDO OYEEE....!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad