Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mchezaji Mbwana Samatta Afunga Goli Bora la Mwaka

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMshambuliaji wa club ya Aston Villa ya England Mbwana Samatta goli lake aliloifunga Liverpool kwenye michuano ya UEFA Champions League November 5 2019 dhidi ya Liverpool limeandika historia.

Samatta akiichezea KRC Genk ya Ubelgiji wakati huo goli lake alilowafunga Liverpool ndio limetajwa na ukurasa rasmi wa Genk kama ndio goli bora la mwaka la club hiyo.

Katika mchezo huo uliomalizika kwa KRC Genk kupoteza kwa kufungwa magoli 2-1, Samatta alifunga goli maridhawa la kichwa dakika ya 41, hata hivyo hadi michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi.

Hata hivyo Samatta aliondoka KRC Genk mwezi January 2020 na kujiunga na Aston Villa ya England kwa kiasi kinachotajwa kufikia pound milioni 10 akisaini mkataba wa miaka minne na nusu kusalia Villa Park.

Post a Comment

0 Comments