5/30/2020

Mke wa Polisi Anayetuhumiwa Kumuua Mmarekani Mweusi Adai TalakaKellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni Mmarekani mweusi George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger