5/20/2020

Msanii Wa Filamu Na Mziki, ANGEL Sabby Ataja Vigezo vya Mwanaume Anayemtafuta ili Kuzaa nae Watoto Mapacha


Msanii Wa Filamu Na Mziki, Angel Sabby ataja vigezo vya mwanaume anayemtafuta ili kuzaa nae watoto mapacha

Mrembo huyo amesema anataka Kuzaa Mapacha Ila Hataki Mahusiano... Kama Wewe Ni Mwanaume Una vigezo Vya historia ya mapacha katika ukoo wenu, Muonenako Mzuri handsome, huna maradhi ya kurithi, mrefu , usie mzungumzaji sana Ila mcheshi na una akili nyingi kichwani basi Sabby anasaka mwanaume wa aina hiyo.

Sabby anasema yeye ndie atagharamia Kila Kitu Ila Baada Ya Ujauzito Kuanza Hamutakuwa na Mawasiliano Tena na watoto watakuwa ni wake yeye mwanaume hutohusika Tena , hiyo Ina maana kuwa Angal Sabby anatafuta SPERM DONOR
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger