5/23/2020

Museveni Ashinda Kesi ya Kumblock Mtu Katika Mtandao wa Twitter
Mahakama Kuu Uganda imesema Rais Museveni alikuwa sahihi kumblock Hillary Seguya kwenye mtandao wa Twitter na kusema Museveni ana haki ya kuchagua yupi aone anachopost na yupi asione

“Kiongozi kutumia akaunti yake binafsi kuwasiliana na Watu hakufanyi akaunti hiyo iwe ya Umma”

Seguya ambaye ni Raia wa Uganda anayeishi Ughaibuni alimfungulia mashtaka Rais Museveni na Viongozi wengine kwa kitendo cha kumblock kwenye ukurasa wa Twitter na kudai wanamnyima haki yake ya msingi ya kutoa maoni na kupata taarifa zinazowekwa na Viongozi hao kwenye kurasa zao.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger