Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ahamia CCM.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Bwana Shabani Limu pamoja na viongozi wengine wawili wa chama hicho wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bwana Limu ambaye ameshika nafasi mbali mbali katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kipindi cha takribani miaka 28 sasa ameamua kukihama chama hicho baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kuondoka na viongozi wengine wa chama hicho akiwemo aliyekuwa Mjumbe wa Bavicha wilaya ya Singida mjini na Katibu wa Bavicha wa Kata ya Unyamikumbi, Bwana Athanasy Ngaa na Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa Chadema Kata ya Kinyeto,Bwana Issa Nkungu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwee.. Saccozi Pwaaa..pwa pwa Pwaaaaaa

    Nani atakuwa waMwisho kufunga Mlango..?

    ReplyDelete

Top Post Ad