5/23/2020

Nicole wa Harmonize Apekuliwa Airport Kisa Mzigo wa Madawa


Nicole Apekuliwa Airport Kisa Mzigo wa Madawa
Video vixen wa Wimbo wa Bedroom wa mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’, Nicole Mbaga amesema umaarufu ni mzigo baada ya kushukiwa amebeba madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar.

Nicole ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hakutegemea kabisa kama anaweza akakutana na changamoto kama hiyo maishani mwake, kwani alijikuta akipekuliwa kwa dakika 30 kisha kupigishwa push up akiwa hapo airport.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger