5/29/2020

Performance ya DIAMOND kwenye Africa Day ya MTVBase yaacha GUMZO,wamuita The African Michael Jackson

Soma Comments za wadau kuhusu Diamond Platnumz

Rasmi naamia Team Mond jmn nipe like za kunikarbisha,Baba lao ni jini burnaboy ajipange aisee!

I think wengi tmeshaongea haya kwmba huyu ndio the nest in Africa ila t hawataki kmpa value yke wanawapa wanaijeria ila Mondi n kiboko yaoo

Man, Diamondplatnumz is a beast!!!! Big up for representing our country

the man who hussling each and every second The LION DP hope you know already A BOY FROM TANDALE

kuna watu roho inawaum kuona diamond platnumz anazid kufany makubwa ni makosa san kumlinganish diamond platnumz na wasani wa tz simbaaaa ni next level kabisaaaaaa anag mtani na kazi Allah mlinde simbaaaa msani wetu bora

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger