5/29/2020

Rais Kagame Ampa Ukurugenzi MwanayeRAIS wa Rwanda, Paul Kagame,  amethibitisha  uteuzi wa mwanaye,  Ivan Kagame (kushoto),  kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Rwanda (RDB). Ivan aliteuliwa wiki jana na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Édouard Ngirente, kuwa mjumbe wa bodi na Mkurugenzi wa RDB.

Kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo Mkurugenzi wa RBD anateuliwa na ofisi ya Waziri Mkuu lakini uteuzi wake unathibitishwa na Rais.

Ivan ana elimu ya masuala uchumi aliyopata katika vyuo vikuu nchini Marekani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger