Rais Magufuli Anaapisha Viongozi Mbalimbali Aliowateua Hivi Karibuni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 21 2020 anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.Viongozi wanaoapishwa ni

1. Dkt. Godwin Oloyce Mollel kuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake Wazee na Watoto.

2. Dkt. Delphine Diocles Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani.

3. Dkt. Jacob Gideon Kingu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria

4. Balozi Mteule Phaustine Martin Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji

5. Balozi mteule John Stephen Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya

6. Brig. Gen. John Julius Mbungo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU.

Hafla inayofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad