5/17/2020

Rais Magufuli "Watalii waje na wasiwekwe karantini"“Kuna Mashirika ya ndege yameshabook Watalii, hadi mwezi wa 8 ndege zimejaa, wanakuja kwasababu wanaujua ukweli, Tanzania ni salama, nimetoa maagizo kwa Waziri wa Maliasili na wa Uchukuzi, waruhusu ndege zije na wasiwekwe karantini, wakipimwa joto liko sawa waende wakatalii” -JPM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

 1. Ndiyo mkuu.
  Maisha yaendelee. Corona is there as it has always been there.

  Tumtangulize na kimuamini MUNGU.

  Binaadamu hufi kama zako no bado.

  Your Leadership is second to non.

  Tahadhari na Ushauri tuendelee kizichukua.

  HONGERA kwa Uamuzi Wako Jemedaei wetu.

  Long live JPJM.

  WATORO MPOOO... PWA..!!!

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger