5/26/2020

Rais wa Sudan Kusini Akanusha Kuumwa Corona


Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba amekimbizwa nje ya Nchi baada ya kuugua corona

 “Acheni utoto na propaganda za kipuuzi, sina corona, nguvu mnazotumia kueneza uzushi tuzitumie kupambana na virusi hivi ili viondoke kabisa”

Wiki iliyopita Makamu wa Rais wa Nchi hiyo Riek Machar na Mkewe pamoja na wafanyakazi tisa wa Ofis ya Makamu wa Rais walibainik kuwa na corona na kwa sasa wamejitenga kwa siku 14.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger