5/31/2020

Ripoti ya Uchunguzi Kifo cha George Floyd Yatoka...Huwezi Amini Wadai Hajauwawa Kwa Kubanwa Shingoni.....Hawa Wanatuchezea Watu Weusi


Ripoti za kitabibu zilizotolewa baada ya mwili wa George Floyd Kuchunguzwa zinasema kwamba, George hajakutwa na majeruhi yoyote mwilini mwake, bali alikua anasumbuliwa na Magonjwa nyemelezi ikiwemo ugonjwa wa Moyo .

Hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo , magonjwa hayo pamoja na Mshituko wa kukamatwa na Polisi ndivyo vimemuua , Lakini si Mateso !
[Source : CNN] .

#JusticeForGeorgeFloyd
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Viingozi umoja wa wa Africa toeni tamko,tugawane kila nchi iwarudishe wangapi
  Enough is enough
  Action is needed
  Maneno matupu hayavunji mfupa

  ReplyDelete
 2. Sitakaa nielewe, uingereza yenye weusi wachache leo inaandamana kuunga mkono weusi wa America.
  Bali afrAfr nyumbani kwa weusi wote wamefunga vinywa na na masikio yametiwa pamba nini maana yake?
  Mwaka 1985 afAfriilikumbwa na na baa la njaa, waliotusaidia ni Michael Jackson aliorganise weusi wengine wakatoa wimbo we are the world ili kuchangia njaa ya Africa
  Wanatujali kuliko tunavyiwajali
  Wanatuthamini kuliko tunavyowathamini
  Wanatukumbuka kuliko tunavyowakumbuka
  Wengine walienda roben island kumuona Mandela jela
  Ipo wapi Africa

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger