Tahadhari kwa Wazazi Wanaogiza Wasichana wa Kazi Toka Mikoani ,Ambao Unatoa Pesa na Kutumiwa Mdada wa Kazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimepokea huu ujumbe kutoka Arusha..Nami nimeona si vibaya na wewe ukausoma;

Onyo kwa wazazi wanaogiza wasichana wa kazi,ambao unatoa pesa unatumiwa! Jana huko Arusha ilikuwa hivi;

Mschana wa kazi alitoroka na mtoto wa miaka kumi tangu saa kumi usiku akamuacha wa miaka 5 akamwambia tunakuja,mtoto mdogo wa miaka 5 aliogopa chumbani na kuamua kwenda kugonga kwa mama yake, kuanzia saa kumi usiku dada hakujulikana alipo na mtoto wa miaka 10, mama alitangaza Redio Safina na Monchwary alienda hola! Kamanda wa polis na jeshi la polis jana walitanda mji wa Arusha na kukagua kila gari bila mafanikio, Baadae sana wakaona Tax nyeusi wakasimamisha dada kabadili mavazi na mtoto wa miaka 10 akiwa amelala tu gari ikawapelekwa kituo cha polisi kusachia dada kakutwa na kisu kipya kikali sana, anaulizwa alikuwa wanaenda wapi hajibu, kisu cha nini nilikuwa naenda kumuuwa mimi huwa nafanyaga hivyo na hii sio mara moja hii ni kazi yangu cha ajabu yule mtoto mpaka saa 6 tunapigiwa simu ajazinduka, hasemi kampa nini mtoto, mtoto amepelekwa hospitali kwa uchunguzi,wazaz wezangu watoto wetu tunawapata kwa shida sana katika kujifungua tuwe makini uzazi umekuwa mgumu sana na hao wasichana wakutumiwa katika gari mh mh!! Msichana wa kirangi anajibu mimi ndio kazi yangu nishawauwa wengi sana bila kuogopa police inatisha...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani hao warangi wana matatizo gani? nakumbuka hata waliokuwa wakilipua mabomu Arusha na kuamia vituo vya polisi nchini kabila hili lilitia fora sana. Siyo kuwatenga bali tuwaangalie sana inaonekana hawana huruma na binadamu wenzao. Pia wamehusika na kuwakamata wanaume kwa njia za madawa maarufu limbwata, ambapo mwanaume akiingia kichwakichwa kwa mwanamke wa kirangi basi ameisha.

    ReplyDelete

Top Post Ad