Video: MWIJAKU Amuomba TANASHA MSAMAHA Kuhusu MTOTOKWA mara ya kwanza Muigizaji Mwijaku, ametoa ufafanuzi kuhusiana na kauli yake ya kusema kuwa mtoto wa mwanamuziki Diamond Platnumz na Tanasha Donna, anayeitwa Naseeb Juniour ni mtoto wake, kauli ambayo imezua gumzo kwenye mitandao hadi kufikia hatua ya Tanasha kusema kuwa atamchukulia hatua za kisheria

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Mwijaku, Tena Kopi lite kamakopi pesti.

    ReplyDelete