google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Vifo Vya Corona Nchini Marekani Vyakaribia Laki Moja, Trump Aonekana Akicheza Mchezo wa Gofu Bila barakoa | UDAKU SPECIAL

Vifo Vya Corona Nchini Marekani Vyakaribia Laki Moja, Trump Aonekana Akicheza Mchezo wa Gofu Bila barakoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka

Marekani ina maambukizi 1,686,436 na wamepona Watu 451,702

Rais Trump jana alionekana akicheza Gofu huku wakazi wa Marekani wakijianika juani wakati hatua za vizuizi zikianza kulegezwa nchini humo.

Trump ambaye anataka makanisa, masinagogi na misikiti kuruhusiwa haraka kuendesha ibada, hakuwa amevaa barakoa wakati alipokuwa akicheza Gofu, na hata wachezaji wenzake nao hawakuvaa Barakoa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad