google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wabunge Wengine Wawili CHADEMA Watangaza Kuhamia NCCR- Magezi | UDAKU SPECIAL

Wabunge Wengine Wawili CHADEMA Watangaza Kuhamia NCCR- Magezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wabunge wa Viti maalumu kupitia CHADEMA   Joyce Sokombi na Sussane Masele  wametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara baada ya kuhitimishwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Wabunge hao wameeleza sababu za kuhama kuwa  ni pamoja  na CHADEMA kutokuheshimu katiba yake ikiwa ni pamoja  na wabunge wanne wa chama hicho kufukuzwa uanachama bila kupewa nafasi ya kusikilizwa.  

"Wabunge wa viti maalum kila mwezi tunachangia chama Milioni 1.5, kila mmoja amechanga milioni 62, tuko wabunge 37 hivyo tumechangia jumla ya Bilioni 2.2. hatulalamiki kuchanga kwani ipo Kikatiba. Matumizi ya fedha hizi hayajawahi kuwekwa wazi na haturuhusiwi kuhoji popote 

"Madaraka ndani ya CHADEMA yanahodhiwa na wachache wengi wao wakiwa wanaume na hivyo kuwepo mwanya wa unyanyasaji wa kijinsia na kingono" Wamesema Wabunge hao.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad