5/23/2020

Zuchu Ameua Sana Kwenye Ngoma ya Quarantine

Nimependa Sana zuchu alivyoswitch kama ana rap hiv kwenye ngoma ya Quarantine hii inathibitisha diamond anapenda Sana kumsign msanii anayeweza kuimba aina nyingi ya mziki namnukuu "Binafsi napenda kumsign msanii anayeweza kuimba aina nyingi ya mziki ili mashabiki wasimchoke".Huyu dada nilimkubali kuna wimbo mmoja unaitwa "Two by two" hapo akiwa bado hajasign rasmi WCB aliimba bongo fleva fulani halisi isio changanywa na maadhi ya pwani kifupi yupo good ila sikujua pia anauwezo wa kurap
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger