6/19/2020

Alichokisema Shilole Kuhusu Kuongezewa Mke wa Pili na Mumewe "Sintokubali la Sivyo Aniache Mimi"Msanii na mfanyabiashara Shilole amesema haitaweza kutokea mumewe Uchebe kuamua kuongeza mke wa pili hata kama dini inaruhusu kuongeza mke mwingine, na akimfanyia hivyo labda aachane naye kisha aoe huyo mwingine.Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Shilole amesema,
"Nina furaha ndani ya ndoa yangu, ninajiamini na sina mambo mengi ndiyo maana najivunia kuwa na mume wangu,  ni ngumu kuongezewa mke wa pili kwa kweli la sivyo aniache mimi aoe mwanamke mwingine hata kama dini inaruhusu ila mimi sitakubali"
.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Usimminyie mwenzio mwenzio Shishbebi.
    ni sunnah, yeye ataendelea kukuenzi.
    na mwenzio atafanya aitwe baba na maisha yanaendelea baba levo n mwijaku
    wote wanalikubali hilo.

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger