6/21/2020

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.

Jecha anakuwa mwanachama wa kumi na nne (14) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger