6/26/2020

Apigwa Risasi Akiwa Anajifungua
Shaida Nathan (32) Mama wa Watoto watatu amefariki Dunia baada ya kuvamiwa na kupigwa risasi akiwa katikati ya shughuli ya kujifungua Mtoto wake wa nne katika eneo analoishi Cape Town, Afrika Kusini.

Licha ya Madaktari kuitwa na kuungana na waliokuwa wanamsaidia ili kupambana kuokoa maisha ya Mama na Mtoto imeshindikana na wote wamefariki, Polisi wanachunguza tukio hilo. •

“Kulikuwa na Watu wengine wawili wakati Mama huyo akiwa anajifungua, inaonekana waliofyatua risasi walimlenga mmoja kati yao wakamkosa na kumpiga Mama”-MASHUHUDA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger