Baada ya Vanessa,Staa Mwingine Atangaza Kustaafu Muziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


DJ, Muandishi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki nchini Marekani Dj Khaled (45) ametangaza nia ya kustaafu kufanya shughuli zamuziki huku akitaka kuwa kama Jay Z  au Michael Jordan kwenye upande wa mchezo wa NBA.


Akitangaza nia hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Dj Khaled ameeleza kuwa

"Ningeweza kustaafu kama walivyofanya Jay Z na Michael Jordan walivyofanya muda wowote ambao ningetaka, naweza kustaafu leo na kufurahia yale yote niliyoyatimiza na kuendelea kupokea baraka na upendo zaidi" 

"Nina shauku ya kushea baraka nyingi, kushawishi na kuwahamisha vijana wengie kwenye ulimwenguni kote, najihisi kama Jay Z na Michael Jordan" ameongeza 

Dj Khaled alianza kazi ya muziki rasmi mwaka 2006 baada ya kuachia Album yake ya kwanza na amefanya kazi na wasanii wakubwa Marekani na duniani kwa ujumla kama Birdman, Lil Wayne, Jay Z , Drake, Nick Minaj, Rihanna , Chris Brown, Justin Bieber, Quavo, Meek Mill, Cardi B na wengineo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad