Bibi afurahia kuishi miaka 90 bila Mume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kweli dunia ina mambao, Bibi mwenye umri wa 90 nchini Marekani aitwaye Claire, ameeleza sababu za kuishi miaka hiyo bila kuwa na Mwanaume.

Ameeleza hayo katika kipindi cha Love What Matters ambapo amesema kuwa hali ya yeye kuishi kwa muda wote huo bila ya kuwa na mwanaume, imepelekea afya yake kuwa imara na kutokumbwa na magonjwa.

“Ingawa ni maajabu kufikisha umri huu lakini bado nina furaha na afya napenda kuishi umri mrefu na sina magonjwa ya uzee,pia sina mawazo ya kuwa na mwanaume ambayo mara nyingi hufanya watu wasifikie umri huu" amesema Claire.

Ameongeza kuwa ameshashuhudia watu wengi wanawahi kupoteza maisha yao, kwa sababu ya kuendekeza mawazo kutoka kwa wapenzi wao kama vile usaliti.

Pia ameeleza siri iliyomfanya akae kando na wanaume ni pamoja na kutowapa nafasi ya kumuumiza na kuweka mipaka ya urafiki na jinsia hiyo, na kuamua kuishi maisha ya kwake pekee.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad