Conor McGregor atangaza kustaafu mapambano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mkali wa MMA, Conor McGregor amewashtua mashabiki zake baada ya kutangaza kustaa katika mchezo huo wa mapambano akiwa na umri wa miaka 31.

McGregor became the only man to hold two belts in different weight divisions back in 2016

Mpambanaji huyo wa UFC, kutoka Ireland ametangaza nia hiyo ya kustaafu kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitter hii leo siku ya Jumapili na kuzua gumzo katika mitandao mbalimbali ”Nimeamua kustaafu kupigana.” aliandika McGregor huku akionyesha picha yake akiwa na mama yake huko Las Vegas.

Taarifa hizo za McGregor zimezua gumzo mitandaoni huku wengi wakichukulia kama mzaha tu kutokana na tabia ya nyota huyo kutangaza kustaafu mara kwa mara na kisha kurejea tena kunako ulingo.

Conor McGregor announced his shock retirement from UFC again on Sunday morning (pictured above with his mother, Margaret)

However, McGregor, who is estimated to have earned in the region of $100m (£80m) alone from his UFC fights and has a net worth of $110m (£86m), appears to have gone into early retirement.

The Irishman made a reported $100m from his  crossover boxing fight with Floyd Mayweather

Hii sio mara ya kwanza kwa nyota huyo kutangaza kustaafu mchezo wa ngumi, mara kadhaa amekuwa akifanya hivyo, inakumbukwa kuwa hata mwaka jana mwezi Machi aliwahi kusema hivyo na baadaye alirejea tena ulingoni.

Kama McGregor atakuwa amekusudia kweli kustaafu basi atakuwa UFC icon, kutokana na mafanikio makubwa aliyopata kutia mchezo huo ikiwemo kuwa mpiganaji pekee wa UFC kumiliki mikanda miwili ya uzito tofauti.

A rematch against his bitter rival Nurmagomedov had been touted as his next possible fight

Amecheza jumla ya mapambano 26, ameshinda 22 na kupigwa manne (4) pekee kunako UFC tangu mwaka 2013 alipoanza kuingia ulingoni.

McGregor alivuta fedha nyingi sana alipocheza na Floyd Mayweather katika pambano la mchezo wa Boxing, ambapo aliingiza kiasi cha dola za Kimarekani milioni 100 mwaka 2017.

Written by Hamza Fumo


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad