Fatma Karume Amrushia DONGO Mrisho Gambo "Ndio shida ya kujiona mkubwa kweli kumbe hata chekechea hujahitimu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, ameendelea kumpiga kijembe aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo, baada ya kutenguliwa nafasi hiyo jana na Rais John Magufuli.

“Kuna mambo mengine ni ya kufurahisa kweli! Gambo KAPANGA, Magufuli KAPANGUA!,” Fatma aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter huku akiweka emoji cha kicheko.

Aliongezea kuwa “Ndio shida ya kujiona mkubwa kweli kumbe hata chekechea hujahitimu,” aliandika Fatma.

Fatma aliandika ujumbe huo baada ya kuona kipeperushi kikimuonyesha Gambo kuwa kesho atakuwa na ziara ya kukagua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha wenye thamani ya Sh bilioni 520.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shangazi. Si uliwahi kuwa wakili zamani kabla ya kukushindwa kazi..!! Nasikia umeanzisha duka LA fesheni huko Ungonini.

    Hivi wewe wa Wapi?? Karibu nyumbani Tandahimba uone Babu na bibi WA babu. Kuna kolosho tu. Tena msimu huu zimezaa mpaka utapenda. Cameliusi alikuwa anakuongelea hivi punde. Tuna kumissi na koti jeusi kama zamani. Umeisikia Ofa ya DC.

    Uongozi wa Arusha ulikuwa na walakini katika ushiriano wa kiutendaji. na Onyo zaidi ya mara Mbili tatu ulishatolewa kwa wote. Na dosari iliyotokea ni Ubunge na uhusiano at personal Level.

    All in All.. Pls take the offer seriously.

    ReplyDelete

Top Post Ad