6/22/2020

Godbless Lema Afunguka "Hatuwezi Kukata Tamaa ingawa hali ya Demokrasia ni Mbaya"Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema,  amesema hawawezi kukata tamaa ingawa hali ya demokrasia inazidi kuwa mbaya zaidi.

“Tukifanya hivi tutakuwa wasaliti wa vizazi vinavyokuja. Uovu hauwezi kuwa na nguvu haki itashinda vita hii japo kwa mateso mengi na dhihaki ata wanao tumika vibaya wana hitaji juhudi zetu,” aliandika Lema.

Lema amesema “Tusiogopr kufiki wema kila mara, hujuma nyingi zina pangwa dhidi ya uchaguzi Mkuu,  tukisimama hapa tulipo ni hatari sana, twendeni sasa tuuvae ujasiri kwa gharama yoyote juu ya future ya nchi hii,”

“Safari sio rahisi lakini matumaini ni makubwa kwani haki ni sifa na tabia ya Mungu,
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Hawa watovu, msid0d0vue ya twita mkatu
    letea huku.

    Tunahitaji kuwasahau tafadhalini.


    Umaarufu walioupata ulikuwa wa Makosa.

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger