6/20/2020

Habari Njema...MC Pilipili na Mkewe Wapata MtotoMshehereshaji maarufu nchini Tanzani ambaye anajulikana kwa MC Pilipili amebahatika kupata mtoto baada ya mkewe kujifungua salama.

Kupitia akaunti yake ya instagram MC Pilipili ameonyesha furaha yake na kuandika hivi;


Karibu DUNIANI mtoto wetu mpenzi @elphina__mathias @elphina__mathias @elphina__mathias @elphina__mathias .

Kwa sasa nimelemewa na FURAHA kupita kiasi ila nina shukrani KUBWA 3

1.Kwa Mungu mwenyezi asante sana kwa zawadi hii ya mtoto wengi wametamani hawajapata naomba kila anaesoma ujumbe huu na kuangalia picha hii na yeye hana mtoto na ana hamu ya mtoto Mungu ukampatie katika Jina la Yesu!

2.Kwa mķe wangu @qute_mena katika maisha yangu wewe umenifungulia ukurasa mwingine na kufanya niyaone mapenzi na maisha katika upande mwingine kabisa NITAZIDI KUKUPENDA

3.Kwa wapenzi wangu na mashabiki wangu mlionitakia kheri nawashukuru sana sana kila mmoja popote alipo ila na wote mliopo Swaswa dodoma na wilaya ya Bahi .

Tumkaribishe Duniani @elphina_mathias
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger